A/N: This is a Swahili translation of DeansBabyBird's work of the same name ( s/9743298/1/EO-drabble-challenge-Kulala-Salama) I had so much fun writing this so I hope you like it.
"Yameisha. Shuku imepita, utapata nafuu."
Mganga Rashida alimwangalia Sam kuhakikisha ameelewa maneno yake. Pepo pevu ilikuwa imemshika na baada ya kujikaza kisabuni waliweza kuupasha urogi huo. Sam alimwangalia, ahsante machoni mwake.
"Hebu keti kabla uanguke" alimwamrisha. Sam mwenyewe alionekana kuchoka kabisa
Rashida alitabasamu na kumketisha yule mgonjwa wake kwenye kitanda kilichokuwa kimetengenezwa shaghala baghala ambapo Dean alilala. Hapo mbelenii, alikuwa amejazwa hofu juu ya hali ya kakake mpendwa na kupatwa na jinamizi ya kusikitisha, lakini sasa amani ilijaa usoni mwake.
Mganga huyo alimpapasa uso kwa upole, upendo machoni mwake, "Lala salama, mpenzi wangu"
Thoughts?
